HabariMilele FmSwahili

Wauzaji dawa nchini watahitajika kudhibitisha usajili wao kwa wateja kwenye maduka ya dawa nchini

Wauzaji dawa nchini sasa watahitajika kudhibitisha usajili wao kwa wateja kwenye maduka yao ya dawa nchini. Kwa mujibu wa sheria mpya zilizotangazwa na bodi ya dawa na sumu nchini wahudumu wa maduka ya dawa pia wameagizwa kubuni namba mpya inayowawezesha wateja kudhibitisha maelezo kuwahusu wataalamu hao. Bodi ya dawa imeelezea imani kuwa sheria hizo mpya zitadhibiti ongezeko la wataalamu ghushi wa dawa nchini.

Show More

Related Articles