HabariSwahili

Jamaa anayetaka kumposa mwanawe Obama azidisha bidii

 
Huku rais wa marekani Barrack Obama akitarajiwa kufika nchini mwezi ujao, jamaa mmoja anamsubiri kwa hamu na mahari ya ng’ombe elfu moja , kama posa anayotaka kutoa kwa mwanawe Malia Obama .
Jeff Ole Kishau  kutoka eneo la Suswa  ambaye alipania kutoa pendekezo la kumuoa Malia mnamo mwaka wa 2015 kwa kutoa mahari ya ng’ombe 500 , sasa anasema kuwa atatoa posa mara dufu .
Frankline Macharia anasimulia kuhusu bingwa huyu ambaye anatumai kukutana na obama , ijapokuwa obama mwenyewe ,atazuru Kenya bila familia yake 

Show More

Related Articles