HabariSwahili

Madaktari 100 kutoka Cuba leo wameanza kuchapa kazi mashinani 

Rais Uhuru Kenyatta ameongoza hafla ya kuwaelekeza madaktari mia moja kutoka nchini Cuba kuanza kazi katika kaunti mbali mbali nchini.

Kama mwanahabari wetu Grace Kuria anavyotueleza, mpango huu unanuia kuafikia mojawapo ya nguzo nne kuu za rais Uhuru Kenyatta, yaani afya kwa wote.

Show More

Related Articles