HabariMilele FmSwahili

Waziri Balala azindua rasmi zoezi la kuwahamisha vifaru weusi 14 kutoka mbuga ya Nairobi

Waziri wa utalii Najib Balala amezindua rasmi zoezi la wiki moja la kuwahamisha vifaru weusi 14 kutoka mbuga ya Nairobi. Hatua hiyo inanuiwa kuwalinda zaidi wanyama hao dhidi ya wawindaji haramu. Vifaru nane watapelekwa katika mbuga ya Tsavo na wengine sita katika mbuga ya Nakuru.

Show More

Related Articles