HabariMilele FmSwahili

Rais Kenyatta kukutana na rais wa Uganda Museveni na rais Kagame wa Rwanda leo

Rais Uhuru Kenyatta leo anatarajiwa kukutana na kushauriana na rais wa Uganda Yoweri Museveni na Paul Kagame wa Rwanda hapa Nairob kuhusiana na masuala sita muhimu yanayofungamana na ushirikiano wa jumuiya ya Afrika Mashariki.Ujumbe wa viongozi kutoka Sudan Kusini pia unatarajiwa katika mkutano huo wa 14 unaohiusu miradi ya ushirikiano wa kanda hii maarufu Northern Corridor Integration Projects. Majadiliano hayo yatahusu mradi wa reli ya kisasa ya SGR ambayo tayari Kenya imekamilisha awamu ya kwanza.

Show More

Related Articles