HabariMilele FmSwahili

Jaji William Ouko kuapishwa kuwa rais mpya wa mahakama ya rufaa

Jaji William Ouko ataapishwa asubuhi hii kuwa rais mpya wa mahakama ya rufaa. Hafla hiyo itaongozwa na jaji mkuu David Maraga katika mahakama ya juu. Jaji Ouko anachukuwa wadhifa wa rais wa mahakama ya rufaa kutoka kwa Paul Kihara Kariuki ambaye ni mkuu wa sheria.

Show More

Related Articles