HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Washukiwa 13 wameshtakiwa kwa kuruhusu mbolea hatari 

Washukiwa 13, akiwemo mkurugenzi mkuu wa shirika la kukadiria ubora wa bidhaa nchini Charles Ongwae wamekabiliwa na mashtaka kadhaa ikiwemo nia ya kuua pamoja na matumizi mabaya ya mamlaka kwa kuruhusu nchini mbolea iliyokuwa na madini ya juu ya zebaki.
Washukiwa hao ambao walifikishwa mbele ya Hakimu Kennedy Cheruiyot wamekanusha mashtaka hayo.
Wameachiliwa kwa dhamana ya shilingi milioni 10 na mdhamini wa shilingi milioni 3 pamoja na shilingi milioni  2 pesa taslimu.

Show More

Related Articles