HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Kasisi Paul Ogalo alitimuliwa kanisani yapata miezi 2 iliyopita

Imebainika kwamba kasisi Paul Ogola aliyesifika kwa kuhubiri na kutumia nyimbo za kufokafoka alitimuliwa kazini mwiezi miwili iliyopita kwa utovu wa nidhamu na kutozingatia kanuni za kanisa Katoliki.
Kwa mujibu wa barua ya kumsimamisha kazi kasisi huyo mtindo aliokuwa akiutumia ulikosa kuzingatia maadili na mienendo kama wanavyofunzwa makasisi.

Show More

Related Articles