HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wafanyibiashara wa changarawe wakabiliwa kwa vitoa machozi, Murang’a

Biashara kwenye mji wa Murang’a hii leo zilitatizika kwa muda baada ya wafanyibiashara ya mchanga kuandamana kwenye barabara kuu ya Kenol kuelekea Murang’a.
Hii ni kufuatia kuongezwa kwa ada wanazotozwa wafanyibiashara hao kwa shilingi elfu moja zaidi ya wanayotozwa kwa sasa.

Show More

Related Articles