HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Waziri Kiunjuri alaumu KRA kwa uagizaji wa sukari nchini kiholela

Waziri wa Fedha Henry Rotich ameiambia kamati ya pamoja ya bunge kuhusu biashara na kilimo kwamba kila mkenya aliidhinishwa kuingiza nchini sukari kati ya mwezi mei na Agosti mwaka jana kufuatia upungufu wa bidhaa hiyo.
Na katika kile kilichoonekana kama mchezo wa kulimbikiziana lawama naye Waziri wa Kilimo Mwangi Kiunjuri kwa upande wake ameshikilia kwamba mamlaka ya ukusanyaji ushuru kra ndiyo ya kulaumiwa kwa kuidhinisha kampuni zisizostahili kuingiza sukari kupita kiasi nchini.

Show More

Related Articles