HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Naibu Rais awasuta wanaomshtumu kwa ziara zake kote nchini

Naibu wa Rais William Ruto ameukosoa upinzani na hasa viongozi wanaoendeleza semi ambazo amezitaja kuwa potovu kuhusiana na msukumo wa serikali ya Jubilee wa kuwafanikishia wakenya miradi ya maendeleo.
Akizungumza katika kaunti ya Nyamira Ruto amewataka wananchi kuwaweka viongozi wote kwenye mizani ili kuhakikisha watakaokosa kutimiza ahadi walizotoa wanapigwa kalamu kwenye uchaguzi mkuu wa 2022.

Show More

Related Articles