HabariMilele FmSwahili

Ruto ataka viongozi kuweka tofauti zao za kisiasa kando na kushirikiana kuchapa kazi

Naibu Rais William Ruto ametaka viongozi kuweka kando tofauti zoa za kisasa na kushirikiana kuchapa kazi. Akiongeza huko Nyamira amesema wakati wa siasa umekwisha na muda uliopo kwa sasa ni kwa viongozi kuweka kando tofauti za kabila na vyama ili kuleta maendeleo. Ruto akiognea pia eneo la Keroka ameahidi kutoa shilingi milioni 100 kwa hospitali ya eneo hilo, kuboresha huduma za matibabu.

Show More

Related Articles