HabariMilele FmSwahili

Mtu 1 afariki,7 wajeruhiwa katika ajali ya barabarani eneo la Kibarani,Mombasa

Mtu mmoja amethibitishwa kufariki katika ajali iliyohusisha matatu mbili na trela asubuhi hii eneo la Kibarani kaunti ya Mombasa. OCPD wa Changamwe Peter omanwa anasema dereva wa matatu amefariki alipokuwa akikimbizwa hospitali. Majeruhi wengine saba wanapokea matibabu katika hospitali kuu ya Mombasa.

Show More

Related Articles