HabariSwahili

Mama awapa sumu wanawe 3, 1 afiriki kufuatia ugomvi,Salgaa

Wenyeji wa kijiji cha Mosop kaunti ya Nakuru wamepigwa na butwaa, baada ya mwanamke mwenye umri wa miaka 28 kuwapa sumu wanawe watatu, na baadaye kujiangamizwa kwa kuruka  mtoni.

Yadaiwa  mwanamke huyo kwa jina Fenny Koech alitekeleza kitendo hicho kwa madai kuwa hangestahimili aibu baada ya mumewe kugundua alikuwa na uhusiano na mwanamume mwingine, na mumewe kumkejeli kijijini.

Show More

Related Articles