HabariSwahili

Juhudi za kusafisha mto Nairobi zinahujumiwa na wafanyibiashara

Imebainika kuwa licha ya jitihada za kaunti ya Nairobi za kusafisha jiji na kusafisha mto Nairobi, kuna wale wanaohujumu juhudi hizo kwa kumwaga kinyesi ndani ya mto huo.

Taswira kamili imebainika leo baada ya K24 saa moja kunakili malori kutoka sehemu mbalimbali yakibeba maji taka na kuyamwaga katika mto huo eneo la Njiru.

Show More

Related Articles