HabariMilele FmSwahili

Mashine 100 za mchezo wa kamare zateketezwa kaunti ya Narok

Mashine 100 za michezo ya kamare zilizonaswa kufuatia msako wa maafisa wa usalama kaunti ya Narok zimeteketezwa. Kamishna wa kaunti ya Narok George Natembeya anasema juhudi za kudhibiti michezo hiyo zitaimarishwa kwa siku 10 zijazo ili kukabili athari zake kwa wakazi hasaa wanafunzi. Kulingana na Natembeya vijana wengi kaunti hiyo pia wameishia kuwa waraibu sugu wa mihadarati huku washukiwa sita wa biashara ya kamari na dawa za kulevya wakinaswa.

Show More

Related Articles