HabariMilele FmSwahili

Kesi ya washukiwa wa sakata ya NYS kuendelea tarehe 17 Julai

Kesi ya washukiwa wa sakata ya NYS itaendelea tarehe 17 mwezi Julai. Ni baada ya kesi hiyo kukosa kuanza leo washukiwa waliposema hawako tayari kwani tangu kuzuiliwa hawajawasiliana na mawakili wao kujiandaa kujitetea. Aidha,huenda baadhi ya washukiwa wakasalia gerezani baada ya hakimu wa mahakama ya ufisadi Douglas Ogot kudinda kukubali ombi la kutaka akaunti zao za benki kufunguliwa ili wapate fedha za kulipia bondi au dhamana walioagizwa na mahakama hapo jana.

Show More

Related Articles