HabariPilipili FmPilipili FM News

Wanasiasa Wenye Nia Ya Kulemaza Msako Wa Sukari Ghushi Waonywa Vikali.

Serikali imewaonya baadhi ya wanasiasa wanaojaribu kuvuruga uchunguzi dhidi ya sukari ghushi ambayo ilikamatwa hivi majuzi.

Akiongea na waandishi wa habari hapa mjini Mombasa msemaji wa serikali Erick kiraithe, ametoa onyo kali kwa wannasiasa wanaojifanya kuwa na ufahamu wa biashara hiyo haramu, akisema wanafaa kuandikisha taarifa kuhusiana na uhalifu huo.

Kando na hayo Kiraithe amebaini kuwa vita dhidi ya biashara za magendo na ufisadi itaendelea hadi wahusika wote wakabiliwe kisheria.

Show More

Related Articles