HabariMilele FmSwahili

Baadhi ya wabunge wataka serikali kupiga marufuku uagizaji wa sukari kutoka nje ya nchi

Baadhi ya wabunge kutoka Magharibi mwa Kenya sasa wanaitaka serikali kupiga marufuku uagizaji wa sukari kutoka nje ya nchi. Wakiongozwa na Enock Kibunguchi na Ayub Savula wanasema uagizaji wa sukari hiyo umepelekea sukari isiyo salama kwa matumizi ya binadamu kuingia nchini na pia viwanda vya sukari nchini kufilisika. Aidha wanataka viwanda vya sukari nchini vinavyohusishwa na uagizaji wa sukari kujitokeza kuelezea ukweli kuhusu madai hayo

Show More

Related Articles