HabariMilele FmSwahili

Mbunge John Kiarie ataka maafisa wa idara ya mahakama kufanyiwa ukaguzi

Huku shinikizo likizidi kutolewa kwa maafisa wa umma kukaguliwa na kutoa maelezo kuhusu maisha yao, mbunge wa Dagoretti kusini John Kiarie anasema maafisa wa idara ya mahakama pia wanapaswa kupitia msasa huo. Waweru anahoji kuwa ufisadi umesheheni zaidi kaitka idara ya mahakama kwani baadhi ya mafisa wanatumiwa na mafisa kuzuia kupatikana haki. Wakati huo huo ameonya dhidi ya kuingizwa siasa kwenye agizo hilo lililtolewa na rais akitaka maafisa wa umma kutoka idara zote za serikali kuwa tayari.

Show More

Related Articles