HabariSwahili

Uchunguzi wa maiti ya aliyekuwa mwnafunzi wa NIBS wabaini alianguka na kupasuka fuvu la kichwa

Upasuaji wa maiti ya mwanafunzi wa chuo cha NIBs, Ruiru, marehemu Doreen Mwiti, ambaye inadaiwa alisukumwa nje na utingo wa basi la Zamzam Githurai na kufariki, umeonyesha kuwa msichana huyo alifariki kutokana na jeraha la kupasuka fuvu la kichwa utosini na kisogoni.
Ripoti hiyo hata hivyo imekanusha madai kwamba msichana huyo aligongwa au kukanyagwa na gari barabarani. 

Show More

Related Articles