HabariSwahili

Bidhaa za thamani ya Sh 1.26B zanaswa katika bohari,Embakasi

Zaidi ya washukiwa 35 wametiwa mbaroni , huku mali  ghushi ya  thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 1.2 ikinaswa, katika vita vinavyoendelea dhiidi ya bidhaa ghushi.
Kulingana na naibu mkuu wa utumishi wa umma  wanyama musiambo , bidhaa hizo zilinunuliwa kutoka uchina , na kuingizwa nchini kimagendo.
Haya yanajiri huku maelfu  ya tani za sukari inayotiliwa shaka , ikiendelea kunaswa katika sehemu tofauti.

Show More

Related Articles