HabariMilele FmSwahili

Msimu wa baridi kali kudumu hadi mwezi Agosti mwaka huu

Msimu wa baridi kali unatarajiwa kudumu hadi mwezi Agosti mwaka huu. Idara hiyo imesema kiwango cha joto kinatarajiwa kushuka hadi kipimo cha nyusi 9 katika kaunti za Nairobi, Nyandarua, Nyeri, Kirinyaga, Murang’a, Kiambu, meru, Embu, na tharaka-nithi. maeneo ya kitui, Makueni, Machakos na Taita-taveta pia yatashuhudia hali hiyo.

Show More

Related Articles