HabariPilipili FmPilipili FM News

Shughli Za Upanzi Miti Katika Kaunti Ya Mombasa Za Shika Kasi.

Zoezi la upanzi wa miti linaendelea kushika kasi hapa mombasa, huku viongozi mbalimbali wakiongoza shughuli hiyo  ili kusaidia kuafikia asilimia 10 ya misitu kote nchini.

Zaidi ya miti 300 imepandwa hivi katika shule ya msingi ya mikindani , shughuli iliyoongozwa na mwakilishi wa wadi hiyo Juma Renson Thoya.

Naibu gavana wa Mombasa William Kingi ameeleza kuwa wako mbioni kuona kwamba agizo la gavana wa Mombasa Hassan Ali Joho la kupanda miti milioni moja na nusu 1.5 linatimia.

 

Show More

Related Articles