HabariPilipili FmPilipili FM News

Baridi Yatarajiwa kuchacha Zaidi Kwa Mda Wa Siku Tatu Zijazo.

Wakenya watarajie baridi katika siku 3 zijazo ambapo temprecha zinatarajiwa kushuka hadi nyuzi tatu katika baadhi ya maeneo nchini.

Hayo ni kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Idara ya utabiri wa hali ya hewa nchini Peter Ambenje, ambaye  amesema maeneo mengi ya nchi kutashuhudiwa vipindi vya baridi na mawingu huku maeneo mengine kukishuhudiwa vipindi vya joto.

Kulingana naye temprecha za mchana na hata za usiku zilishuka maradufu kote nchini wiki iliyopita isipokuwa sehemu chache tu kama vile kaunti za lamu , wajira na Nayhururu zilikuwa temprecha tofauti.

Show More

Related Articles