HabariK24 TvSwahili

Kutana na mama aliyempa mtoto wake jina la Rais na kutelekezwa na mumewe

Wengi wetu huwaenzi watu mbalimbali na kuwapenda kwa dhati. lakini wangapi wanaweza hata ita wanao majina ya wanaowaenzi na kutojali hata kuachwa na familia zao na hata kuwa radhi kupeana uhai wao kwa ajili ya watu hao?
Basi ndiyo taswira ya mwanamke anayefahamika kama Veronica kutoka eneo la Karatina kaunti ya Nyeri aliyempa mwanawe wa kiume jina lla Uhuru Kenyatta, kama Rais.

Show More

Related Articles