HabariK24 TvSwahili

Mashirika kadhaa yafumbua njia ya kukabiliana  na ndoa za mapema na ukeketaji

ndoa za mapema na ukeketaji

Kwa muda viongozi wa kidini na wanasiasa wamekuwa mstari wa mbele  kupambana na tamaduni zilizopitwa na wakati,,kama vile ukeketaji na ndoa za mapema,,lakini juhudi zao kwa mara nyingi hazionekani kuzaa matunda.
Na ndio maana kaunti ya Samburu imeamua kubadilisha mkondo na sasa kuwatumia wanafunzi .
Wanafunzi huchaguliwa kuanzia darasa la sita hadi  nane na  kupewa mafunzo ya jinsi ya kupambana na tamaduni zilizopitwa na wakati

Show More

Related Articles