K24 TvSwahili

Viongozi  waunga mkono amri ya Rais ya kukagua mtindo wa maisha wa viongozi

mtindo wa maisha wa viongozi

Viongozi kutoka mrengo wa Jubilee sasa wamepongeza amri ya rais Uhuru Kenyatta ya kukagua utajiri wa maafisa wote wa umma, ikiwa ni njia moja ya kumaliza ufisadi nchini.
 Wakiongozwa na naibu spika wa bunge la seneti Kithure Kindiki, viongozi hawa wamesema uporaji wa mali ya umma umelemaza uchumi, huku wakenya wengi wakiendelea kuhangaika.
 Hata hivyo viongozi hawa wanapendekeza kuundwa kwa sheria itakayolinda zoezi hilo, ili kuepuka kesi mahakamani.

Show More

Related Articles