HabariK24 TvSwahili

Sukari gushi ya thamani ya shilingi  milioni 250 yanaswa eneo la Matuu, Machakos

Sukari gushi

Katibu mkuu wa  muungano wa wafanyikazi nchini COTU Francis Atwoli ametishia kuwataja walanguzi wa sukari gushi nchini akisema wamefilisi biashara ya sukari nchini haswa katika magharibi mwa Kenya.
Yamejiri hayo huku polisi wakitambua njama ya wafanyibishara kaunti ya  ya Kitui, Machakos na Nairobi   ambao wamekuw wakijihushisha na biashara hii ya magendo baada ya kunaswa kwa gunia 2000 ya sukari katika bohari ya matuu  sukari inayoaminika kuwa baadhi yail iliyonaswa wiki moja iliyopita.

Show More

Related Articles