HabariK24 TvSwahili

Mtoto wa miaka mitatu, auawa na kunyofolewa macho na vidole, Murang’a

kunyofolewa macho na vidole,

Familia moja katika eneo la Gatanga kaunti ya Muranga  wanendelea kuomboleza mauaji ya mtoto wao mwenye umri wa miaka tatu ambaye alipatikana ameuawa baada ya kukosekana kwa siku kumi n moja,mwili wa marehemu ulipatikana huku umetupwa kwenye bwawa huku akiwa amekatwa ulimi  ,kungolewa macho na vidole na vilevile akiwa amenajisiwa.

Show More

Related Articles