HabariK24 TvSwahili

Kasisi ajitia kitanzi baada ya kumpachika mimba bintiye wa kambo,Kawangware

Mchungaji mmoja katika mtaa wa Kawangware hapa jijini Nairobi amejitia kitanzi baada ya kubainika kuwa amekuwa akishiriki mapenzi kisiri na bintiye wa kambo.
Yadaiwa alimua kujitia kitanzi baada ya bintiye huyo  kupata mimba kufuatia uhusiano huo.

Show More

Related Articles