HabariSwahili

Rubani msaidizi aliyefariki kwenye ajali ya Aberdare azikwa

Rubani wa pili aliyeangamia wiki iliyopita kwenye ajali ya ndege msituni Aberdare Jean Muthoni Muriithi, amezikwa hii leo nyumbani kwao katika eneo la Kiunyu, kaunti ya Nyeri.  
Wengi wakimlimbikizia sifa kwa kufanikisha baadhi ya malengo yake maishani haswa akiwa na umri mdogo.
Rubani mwenzake Babra Wangeshi alizikwa jana Kiambu. 

Show More

Related Articles