HabariSwahili

Ari na ukakamavu : Tunatambua kipaji cha uimbaji cha malkia Amani,Githurai

 
Mwanafunzi mmoja mwenye umri wa miaka 13 kutoka mtaa wa Githurai, amejinyakulia nafasi ya kuigiza jijini London Uingereza, kutokana na kipawa chake cha uimbaji.

 Grace Amani amekuwa akisifika humu nchini haswa kwenye mitandao ya kijamii baada ya video yake akiwatumbuiza watalii katika mtaa wa Githurai kuenea  kutokana na sauti yake ya kuvutia.

Mwanahabari wetu Kimani Githuku aliungana naye  na kutuandalia taarifa hii kwenye makala ya Ari na Ukakamavu.

Show More

Related Articles