HabariSwahili

Karua apoteza kesi aliyowasilisha kupinga uchaguzi wa Waiguru

Mahakama kuu mjini Kerugoya sasa imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa na aliyekuwa mbunge wa Gichugu Martha Karua dhidi ya Anne Waiguru kama gavana wa Kirinyaga.
Akitoa uamuzi wake, jaji Lucy Gitari amesema Waiguru alichaguliwa kwa njia huru na ya haki, huku akisema ushahidi uliotolewa na karua ulikuwa porojo tu.
Haya yanajiri huku ushindi wa Prof. Anyang Nyong’o kama gavana wa Kisumu pia ukiidhinishwa na mahakama ya rufaa.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.