HabariMilele FmSwahili

DPP aelekea mahakamani kutaka ruhusa ya kumfungulia mashtaka aliyekuwa waziri Michae Kamau

Mkurugenzi mkuu wa mashtaka ya umma Noordin Haji ameelekea katika mahakama ya juu kutaka ruhusa ya kumfungulia mashtaka aliyekua waziri wa uchukuzi Michael Kamau. Kwenye ombi lake,Noordin anaomba idhini ya kumshtaki kamau kwa utumizi mbaya wa afisi. Masaibu ya Kamau yanafuatia kandarasi tata ya ujenzi wa barabara ya Kamukuywa-Kaptama-Kapsokwony-Sirisia kaunti ya Bungoma mwaka 2007 ambapo Kamau anadaiwa kuhitilafyana na ramani ya ujenzi wake.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.