People Daily

Mashine 42 Za Kamare Za Teketezwa Na Maafisa Wa Usalama Likoni.

Ongezeko la Mashine za kamare mitaani limetajwa kuchangia visa vya wizi miongoni kwa vijana, pamoja na kudorora Kwa masomo katika gatuzi la likoni hapa mombasa.

Hayo ni kwa mujibu wa naibu kamishna wa eneo hilo Jane Machara ambaye anasema  tayari polisi wamefanikiwa kuteketeza mashine 42 za kamare, huku akiwaonya watakao endeleza biashara hiyo kwamba watakabiliwa kisheria.

Amesema  msako huo utaendelea  sawia na ule wa kuangamiza pombe haramu mashinani.

Show More

Related Articles