HabariSwahili

Shirika la KEBS latofautiana na Matiang’i kuhusu sukari “hatari”

Saa chache baada ya waziri wa usalama wa ndani kutangaza kuwa sukari ghushi iliyonaswa ina madini ambayo ni hatari kwa afya ya binadamu, shirika la kukadiria ubora wa bidhaa, KEBS sasa limetangaza kuwa bidhaa zote nchini, ikiwemo sukari hiyo inayodaiwa hata kuwa na shaba nyekundu inayoweza kusababisha maradhi ya figo na mshtuko wa moyo, ni salama kwa matumizi ya binadamu.
Grace Kuria anatuarifu kuhusu mtafaruku huo baina ya asasi hizo za serikali.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.