HabariPilipili FmPilipili FM News

Afisa Wa Polisi Auawa Na Kwa Kudungwa Kisu Na Wahalifu, Mombasa.

OCPD wa kisauni Sangura Musee amethibitisha kuuawa kwa afisa mmoja wa polisi baada ya kudungwa kisu na wahalifu katika eneo la Kisauni jana jioni.

Akiongea na waandishi wa habari, sangura amesema aliyetekeleza uhalifu huo ni mwanamume aliyeuwawa na polisi kwa kupigwa risasi huku polisi wakiendelea kuwasaka wahalifu wengine walifanikiwa kutoroka.

Amesema wamepata taarifa hiyo kutoka kwa wananchi huku akisema usalama umeimarishwa pakubwa eneo hilo,na kuwataka wananchi walionahabari kuwahusu washukiwa walitoroka kuwapasha polisi.

 

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.