HabariMilele FmSwahili

Wafanyibiashara wa michezo ya kamari nchini waandamana, Nairobi

Wafanyibiashara wa michezo ya kamari nchini wameandamana hapa Nairobi kulalamikia kile wanadai ni serikali kuwahujumu. Wafanyibiashara hao wamelaani zoezi linaloendelea la kusaka na kuharibu mitambo yao wakidai wana leseni halali za kuendesha biashara hiyo. Sasa wanaitaka serikali kubuni sera mwafaka kusimamia biashara hiyo ili kuhakikisha usawa.

Show More

Related Articles