HabariMilele FmSwahili

Lilian Omollo arejea katika gereza la wanawake la Lang’atta

Wakati uo huo katibu wa maswala ya vijana Lilian Omollo amerejea katika gereza la wanawake la Lang’atta. Omollo anayekabiliwa na mashitaka ya ufisadi kuhusiana na sakata ya NYS amerejeshwa katika gereza hilo wiki mbili baada ya mahakama kuagizwa kuzuiliwa kwake pamoja na washukiwa wengine 42. Katibu huyo amekuwa katika hospitali kuu ya Kenyatta kwa muda huo kabla ya uchunguzi wa idara ya jinai kudhibitisha kuwa hali yake ya kiafya imeimarika.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.