HabariPilipili FmPilipili FM News

Gavana Sonko Akubali Uamuzi Wa Bunge La Kaunti Ya Nairobi Kukataa Jina La Miguna.

Gavana wa Nairobi Mike Sonko anasema amekubali uamuzi wa bunge la Nairobi wa kupinga uteuzi wa Miguna Miguna kama naibu gavana wake.

Hii ni baada ya bunge hilo kusema haliwezi kumuidhinisha Miguna kwani ana uraia wa mataifa mawili.

Katika taarifa yake Sonko amesema anaheshimu uamuzi wa bunge hilo na atawasilisha jina lingine baada ya kufanya mashauriano.

Show More

Related Articles