HabariMilele FmSwahili

Gavana Sonko akubali hatua ya wawakilishi wadi Nairobi kupinga uteuzi wa Miguna Miguna

Gavana wa Nairobi Mike Mbuvi Sonko sasa anasema amekubali hatua ya wawakilishi wadi kaunti ya Nairobi kupinga uteuzi wa Miguna Miguna kuwa naibu gavana wa Nairobi kutokana na utata kuhusu uraia wake. Katika taarifa gavana Sonko anasema ameheshimu uamuzi wa wawakilishi huo na kuwa atamteua naibu wake mpya hivi karibuni. Gavana Sonko pia ametoa hakikisho kuwa uteuzi wa naibu gavana mpya wa Nairobi utatekelezwa kwa mashauriano na wadau wote.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.