HabariSwahili

Washukiwa 43 watalazimika kusalia rumande kwa siku 7 zaidi

Washukiwa wa sakata ya wizi wa fedha katika shirika la huduma ya vijana kwa taifa NYS watasalia rumande kwa siku saba zijazo, baada ya mahakama kuu kudinda kuwaachilia kwa dhamana.
Jaji wa mahakama kuu Hedwig Ong’undi amesema atatoa uamuzi wake iwapo washukiwa hao wataachiliwa kwa dhamana au la Jumanne ijayo, baada ya upande wa mashtaka kuomba kuzuiliwa kwa washukiwa hao. kiama kariuki anatujuza zaidi.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.