HabariSwahili

Shule ya wasichana ya Maasai eneo la Narok imefungwa kwa muda 

Wizara ya elimu hii leo imependekeza mfumo wa  sheria ambayo itakabiliana na wale wanaowabaka wanafunzi shuleni au kuwadhulumu kimapenzi.
Mfumo huo unoatarajiwa kuwasilishwa kwenye bunge la kitaifa unapendekeza kifungo cha maisha kwa watakaopatikana na hatia.
Haya yamejiri huku shule ya upili ya wasichana ya masaai katika kuaunti ya narok ikifungwa, baada ya  wanafunzi 700 shuleni humo kuandamana na kuondoka shuleni wakilalamikia kudhulumiwa kimapenzi kwa mmoja wao na mwalimu wa shule hiyo.

Show More

Related Articles