HabariMilele FmSwahili

Jaji Mkuu Maraga: Idara ya mahakama imekuwa mstari wa mbele katika kutetea uhuru wa vyombo vya habari

Jaji mkuu David Maraga anasema idara ya mahakama imekuwa mstari wa mbele katika kutetea uhuru wa vyombo vya habari kwa kuondoa sheria zinazowakandamiza. Akiongea kwenye mkao na wahariri Maraga ameelezea changamoto wanazopitia wanahabari licha ya mchango wao muhimu. Maraga anasisitiza kuwa vyombo vya habari vinapaswa kuwa huru ili kutekeleza majukumu yake kikamilifu.

Show More

Related Articles