HabariMilele FmSwahili

Wanafunzi kadhaa wa shule moja hapa Nairobi wakamatwa kwa kuwa walevi

Wanafunzi kadhaa wa shule moja hapa jijini Nairobi wanazuiliwa kwa madai ya kupatikana wakiwa walevi. Wanafunzi hao walikamatwa katika gari la uchukuzi wa umma na kupelekwa katika kituo cha polisi cha Pangani walipokuwa katika ziara ya kimasomo. Usamamizi wa shule hiyo umedhibitisha tukio hili lakini ukadinda kutoa maelezo zaidi.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.