People Daily

Maruweruwe ya mafuta : Wakaazi Turkana washinikiza wapewe pesa taslimu kutokana na mapato

Miaka sita baada ya Kenya kuvumbua raslimali ya mafuta Lokichar kusini, takwimu za hivi punde zinaashiria kuwa maeneo hayo yana uwezo wa kuzalisha kati ya mapipa milioni mia saba na bilioni moja.
Mwanahabari Zawadi Mudibo amerejea kutoka turkana na kutuandalia taarifa ifuatayo, Maruweruwe Ya Mafuta,  inayotupa taswira kamili ya uhalisia wa mambo.

Show More

Related Articles