HabariMilele FmSwahili

Mafuriko yatatiza shughuli za masomo katika shule ya msingi ya Mung’oma, TransNzoia

Shughuli za  masomo zimekwama katika shule ya msingi ya Mung’oma kaunti ya TransNzoai baada ya mafuriko kusomba daraja linalounganisha wadi ya Kinyoro na Matisi kwenye mto wa Shimalabandu. Zaidi ya wanafunzi mia moja wa shule hiyo wameshindwa kufika shuleni asubuhi ya leo . Mwalimu mkuu wa shule hiyo, Wafula walumbe amedhibitisha kuathirika wanafunzi hao.

Show More

Related Articles