HabariMilele FmSwahili

Watu 5 wafariki kutokana na homa ya Rift Valley Wajir

Idadi ya watu walioangamia kutokana na homa ya Rifty Valley katika kaunti ya wajir imeongezeka hadi watano. hii ni baada ya mtu mmoja aliyekuwa mfungwa kufariki. wagonjwa wengine 7 wamelazwa katika hospitali kadhaa kaunti hiyo

Show More

Related Articles