HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Watu 78 wathibitishwa kuugua Kipindupindu Tana River

Hali ya wasiwasi imetanda katika eneo la Madogo kaunti ya Tana River  kufuatia mkurupuko wa maradhi ya kipindupindu  eneo hilo ambayo yamesababisha kulazwa kwa watu sabini na wanane  katika  kituo cha afya cha Madogo.
Hali hiyo imesemekana kusababishwa na wakaazi wa eneo hilo kunywa maji kutoka kwenye visima ambavyo vimejaa maji ya mafuriko.

Show More

Related Articles